Posts

Showing posts with the label Leso Ya Mekatilili

AUDIO | DJ Crystal - Best Of Black Mtengwa | mp3 DOWNLOAD

Image
  Stream and Download Best Of Black Mtengwa Mixtape mixed and mastered by one of the best Kenyan Dj, Dj Crystal International. STREAM ON AUDIOMACK Click on the button below to download and enjoy good music. Please leave your comment on the comment box below and welcome back to DERDEEDO MEDIA blog  AUDIO | DJ Mix Crystal - Best Of Black Mtengwa | mp3 DOWNLOAD DOWNLOAD #DERDEEDOMEDIA

AUDIO | Kaa La Moto ft Mercury - Loyo | mp3 DOWNLOAD

Image
  The Mombasa king of Hiphop music Kaa La Moto Kiumbe teams up wit Mercury in his new song tagged 'Loyo'  Loyo is the track number one (o1) in his new album 'Leso Ya Mekatilili' AUDIO | Kaa La Moto ft Mercury - Loyo | mp3 DOWNLOAD DOWNLOAD

ALBUM RELEASE | Kaa La Moto - Leso Ya Mekatilili | FULL ALBUM

Image
ALBUM RELEASE | Kaa La Moto - Leso Ya Mekatilili | FULL ALBUM Baada ya kimya cha muda mrefu, sasa wa msanii hiphop kutoka Mombasa Kenya Kaa La Moto Kiumbe ametangaza ujio wake mpya na kuachia album mpya nayoenda kwa jina 'Leso ya Mekatilili' Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram Msanii huyo ameachia orodha ya nyimbo zitakazokua katika album hiyo ambayo ina jumla ya nyimbo Kumi na mbili (12). Mkongwe huyo ameshirikisha wasanii kadhaa kutoka nchini Kenya wakiwemo Masauti (Kenyan Boy), Kigoto Mmbonde, Chikuzee, Lavido, Escobar Babake na wengine wengi. Ikumbukwe ya kwamba album hii inafuata baada ya kuachia album yake ya kwanza iliyotambulika kwa jina 'kesi'. Kesi ni kati ya album zilizouza vizuri katika Boomplay na kupenya katika soko zima la Afrika. Kaa La Moto alijulisha mashabi zake kuwa albamu yake ataiachia kupitia mtandao wa Boomplay Music ingawa tarehe kamili ya kutoka Kwa Leso Ya Mekatilili hajiatangaza.   Ili kuwa wa kwanza kupata album hii follow account