AUDIO | Alikiba - Ubuyu | mp3 DOWNLOAD

Image
Alikiba Drops a Street Anthem with His New Hit “Ubuyu” East African music royalty Alikiba is back in the spotlight with his brand-new single, “Ubuyu”—a track that’s already sending shockwaves through the streets and dancefloors of Tanzania and beyond. Known for his smooth vocals and timeless Bongo Flava hits, Alikiba surprises fans this time with an electrifying twist: Singeli—a fast-paced, high-energy genre born in the heart of Dar es Salaam. What’s “Ubuyu” All About? In Swahili, “ubuyu” refers to flavored baobab seeds—sweet, spicy, and addictive. But in urban slang, “kubugia ubuyu” means indulging in gossip. Alikiba cleverly flips this double meaning into a vibrant anthem that blends cultural wit with street-smart vibes. The song pokes fun at the culture of idle talk, while inviting everyone to dance along with a beat you simply can't ignore. A Bold Step into Singeli “Ubuyu” marks a significant stylistic departure for Alikiba. It’s his first foray into Singeli, a genr...

ALBUM RELEASE | Kaa La Moto - Leso Ya Mekatilili | FULL ALBUM














ALBUM RELEASE | Kaa La Moto - Leso Ya Mekatilili | FULL ALBUM



Baada ya kimya cha muda mrefu, sasa wa msanii hiphop kutoka Mombasa Kenya Kaa La Moto Kiumbe ametangaza ujio wake mpya na kuachia album mpya nayoenda kwa jina 'Leso ya Mekatilili'










Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram Msanii huyo ameachia orodha ya nyimbo zitakazokua katika album hiyo ambayo ina jumla ya nyimbo Kumi na mbili (12).




Mkongwe huyo ameshirikisha wasanii kadhaa kutoka nchini Kenya wakiwemo Masauti (Kenyan Boy), Kigoto Mmbonde, Chikuzee, Lavido, Escobar Babake na wengine wengi.










Ikumbukwe ya kwamba album hii inafuata baada ya kuachia album yake ya kwanza iliyotambulika kwa jina 'kesi'. Kesi ni kati ya album zilizouza vizuri katika Boomplay na kupenya katika soko zima la Afrika.




Kaa La Moto alijulisha mashabi zake kuwa albamu yake ataiachia kupitia mtandao wa Boomplay Music ingawa tarehe kamili ya kutoka Kwa Leso Ya Mekatilili hajiatangaza.

 

Ili kuwa wa kwanza kupata album hii follow accounts za 'KAA LA MOTO' Katika YouTube, Boomplay, Spotify, Audiomark na mitandao yote ya kijamii.










Tupia maoni yako hapo chini kulingana na album hii mpya.

Comments

Popular posts from this blog

AUDIO | Dogo Paten ft Zuchu - Afande | mp3 DOWNLOAD

AUDIO | DJ Crystal - Best Of Black Mtengwa | mp3 DOWNLOAD